2025-01-27 14:47
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mama Yetu. Katika kipindi cha uongozi wako, Tanzania imepiga hatua kubwa katika diplomasia ya kimataifa, maendeleo ya miundombinu, kuimarisha usawa wa kijinsia, na kuleta uhuru wa habari. Umekuwa kiongozi wa matumaini, ukiweka mazingira bora kwa maendeleo ya michezo, na kusukuma mbele utali wa Taifa letu.
Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema, furaha, na nguvu za kuendelea kulitumikia Taifa letu kwa hekima, utulivu, na upendo.