2025-01-29 06:22
Elie Mpanzu tangu amejiunga na klabu ya Simba amecheza takribani michezo kumi (Mashindano yote), amefanikiwa kutoa usaidizi (assist) moja pekee huku akiwa hana walau bao moja.
Lakini Israel Patrick Mwenda amecheza mechi moja tu (Yanga vs Copco) amefanikiwa kutoa assist mbili. Halafu tukisema Simba imetapiwa kwa Mpanzu mashabiki wake wanakuwa wakali, sasa mnacho kataa kitu gani ili hali takwimu ziko wazi?
#SOZYMEDIA
#SOZYMEDIAUPDATES