2025-01-29 17:24
Baada ya Kikosi cha M23 kutwaa mamlaka kwenye eneo la Mashariki ya Congo, Wanajeshi Wachimbaji zaidi yako basi nitafeli 288 kutoka nchini Romania wakasalimu amri mbele ya Umoja wa Mataifa huku wakiondoka kupitia Rwanda kurejea nchini kwao Romania.
Unaona mambo yanavyofikirisha? Yaani M23 anatwaa Mamlaka tu watu wa Ulaya wanasalimu amri na kuondoka.