2025-02-02 12:24
Simba ukitoa mchezo wa leo amebakiza mechi nne pekee nje ya Dar Es Salaam akitoka Tabora anaelekea Manyara.
Hivyo mechi nne za mikoani ni dhidi ya Namungo, Kengold, Coastal Union na Fountain Gate, hapo kimahesabu kama unakuja kuja hivi😀