2025-02-06 17:23
Mdogo wangu Ladack una talent kubwa sana, umecheza mpira mkubwa sana leo, binafsi naridhishwa sana na uwezo wako namna umekuwa na msimu bora sana, kwasasa zima simu ukiweza achana na Instagram kwa muda, kwepa mic na endelea kufocus na Boli, wewe ni Mchezaji mkubwa na utakuja kuwa Staa mkubwa sana kwenye hii timu, kilichotokea leo ni ajali kazini, simama imara tuondoke inakusubiri dunia.