2025-03-17 08:56
#HABARI: Ibada ya Misa ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dokta John Pombe Joseph Magufuli inafanyika hii leo Machi 17, 2025 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Mlimani wilayani Chato mkoani Geita.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania