2025-03-17 07:45
#HABARI: Ajali imetokea eneo la Gongolamboto mwisho, kwenye kilima cha kuingia Pugu Sekondari na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Chanika (OCD), Awadh Mohamed Chiko. Kwa mujibu wa mashuhuda, daladala la aina ya Eicher lilitanua na kufuata upande wa gari la OCD Awadh, ambaye alikuwa akiendesha Toyota Prado, na kusababisha ajali hiyo mbaya. Endelea kufuatilia ITV Digital kwa taarifa zaidi. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania. #Follow @radioonetanzania
55
回覆
3
轉發
1

作者

ITV TANZANIA
itvtz
profile
粉絲
127,948
串文
425+

回覆

轉發

24小時粉絲增長

無資料

互動率

(讚 + 回覆 + 轉發) / 粉絲數
0.05%

回覆 (BETA)

最先回覆的內容
發文後用戶內容

© 2025 Threadser.net. 版權所有。

Threadser.net 與 Meta Platforms, Inc. 無關,未經其認可、贊助或特別批准。

Threadser.net 也不與 Meta 的"Threads" 產品存在任何關聯。