2024-09-11 07:49
Ninawatakia kila lakheri Wanafunzi wetu wa Darasa la Saba katika kuhitimisha safari ya miaka Saba.
Tunawaombea utulivu, umakini na uelewa wa kila kipimo mutakachopewa.
Furaha yetu ni kuwaona mkijiunga wote na kidato cha kwanza ifikapo mwaka 2025.
KILA LAKHERI WANANGU. ##theblackgodfather